Kutoka kuwa Mrembo hado kuwa Kasha la kubeba Madawa ya Kulevya
Super Star Model Jack Patrick Cliff aliyewahi kuwa mrembo mukareezzz kuliko wote Bongo na chini ni picha zake siku alipoakamtwa akiwa amebeba madawa ya kulevya huko Macao/China ambako yupo jela mpaka leo.