Posts

Showing posts with the label PICHA

Meli ya Anasa Duniani

Image

Drake shares throwback pic

Image
  He's always been such a cutie!

MREMBO TUNDA AKATA WATU WANAOMFOLLOW KWENYE ACCOUNT ZAKE

Image
Mrembo ambaye anafanya poa kwenye video za bongo Tunda, amewataka mashabiki wake kuwa wakweli na kuacha unafiki, la sivyo wamuache kumfuata kwenye mtandao wa kijamii. Akiongea kwenye kipindi cha PlanetBongo kinachorushwa na East Africa Television, Tunda amesema anachukizwa na kitendo cha watu kujadili mambo yasiyowahusu, pamoja na kuoneana wivu, na kuwataka wasimfollow kwenye mitandao ya kijamii. "Wanaonipenda wanipende na wasionipenda waachane na mimi wasinifollow na kunijazia coments za kipumbavu pumbavu, ila wanaonipenda wanifollow", alisema Tunda. Pia Mlimbwende huyo ambaye ana mahusiano na msanii wa muziki wa bongo fleva Young Dee, amesema anashangazwa na tuhuma anazopewa za kutumia madawa ya kulevya, na bado analifanyia utafiti suala hilo. "Kitendo cha kuniambia natumia unga mpaka leo sijui limeanzia wapi, hata sijui ila naendelea kufuatilia" alisema Tunda. Kwa sasa mrembo huyo ameamua kurudi shule baada ya k...

Kutoka kuwa Mrembo hado kuwa Kasha la kubeba Madawa ya Kulevya

Image
Super Star Model Jack Patrick Cliff aliyewahi kuwa mrembo mukareezzz kuliko wote Bongo na chini ni picha zake siku alipoakamtwa akiwa amebeba madawa ya kulevya huko Macao/China ambako yupo jela mpaka leo.

Photo: Does he use waist trainer?

Image
I wonder...  Source: @Lammiblaq/twitter

Photos: Multiple accident on Ozumba Mbadiwe Road

Image
There was an accident today involving a number of cars along Ozumba Mbadiwe Way, Victoria Island, Lagos, which resulted in heavy traffic. What caused the auto crash isn't known yet. More photos as you continue. Photo Credit: Twitter @UnwanaEsang

Uche Kalu & Wife, Ada Welcome their Baby Boy

Image
Nigerian international footballer, Uche Kalu and his beautiful wife, Dr. Ada have welcomed their Son, who has been named 'Micheal Uche Junior'. He is their first child. Congratulations to them!

Photos: Check this cute little fashionista's recreation of Kylie Jenner's look

Image
Her name is Sofia and she is 5. Did she nail it? See more photos after the cut...

See upclose photos of Ciara's stunning engagement ring!

Image
The ring reportedly cost Russell Wilson $6million and is said to be one of the rarest stones sold in recent times. It's completely flawless and colourless. Lucky girl! See more photos after the cut...

Tyga spotted shopping with a pretty female that's not Kylie Jenner

Image
Tyga who spent most of the weekend with his girlfriend Kylie Jenner and her family, was spotted shopping at Barneys New York in Beverly Hills with a pretty female and his goons. More photos after the cut... Tyga and Kylie on Saturday for Rob's birthday party

MWANAMKE GUMZO ZAIDI NCHINI KENYA (+MAPICHAZ)

Image

TAZAMA PICHA ZA UZINDUZI WA MISS TANZANIA DAR

Image
Linah na Watu wake wa nguvu Liliani Deus (Miss Tanzania 2014/15) (Kushoto) ni mshiriki wa Miss Tanzania miaka iliyopita (Faudhia Fyeka) (Washiriki wa Miss Tanzania  pamoja na mshindi Lilian 2014/2015 Waandaaji wa shindano la Miss Tanzania Linah na warembo wa nguvu Warembo katika pozi Warembo katika pozi Warembo katika pozi Warembo katika  pozi