WAREMBO KUMI WANAOTAZAMWA NA KUFATILIWA ZAIDI NA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA MASHARIKI.
WAREMBO KUMI WANAOTAZAMWA NA KUFATILIWA ZAIDI NA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA MASHARIKI. Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno"Socialite",au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita "Socialite person",ila kwa kifupi "Socialite" ni neno la kingereza linalomwelezea mtu mwenye sifa nyingi ila baadhi ya sifa hizo ni pamoja na kuzungumziwa kwenye vyombo habari mara kwa mara,nguvu ya fedha,kuonekana kwenye matamasha na event mbalimbali za burudani,kujihusisha na masuala ya kijamii ect. Kwa kuzingatia sifa hizo hii hapa ni top ten socialite girls wanazungumziwa na kuandamwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki. 10.HAMISA MABETO. Mrembo huyu ni mwanamitindo aliejipatia umaarufu kwa muda ...
Comments
Post a Comment