NICKI MINAJ: NIMEMKATAZA MEEK MILL KUNIITA 'MCHUMBA'
Mwezi December mwaka jana, Nicki Minaj alionesha pete ya almasi iliyowafanya wengi waamini kuwa amechumbiwa na Meek Mill.
Na
sasa rapper huyo amekiri kuwa hata mpenzi wake huyo amekuwa
akichanganya hatua ya uhusiano waliyofika. Nicki amekava issue ya April
ya jarida la Nylon na kukiri kuwa Meek bado hajamchumbia.
Hivi
karibuni Nicki alidai kuwa Meek anataka ampe pete tatu kabla
hawajafunga ndoa na kwakuwa hadi sasa amempa mbili tu, rapper huyo
anaona ni sawa kumuita Nicki mchumba hata kama bado haijawa rasmi.
‘I’m
not engaged yet.… He said that my third ring would be my engagement
ring. ‘But sometimes he calls me his fiancĂ©e, and I’m always trying to
stop him, like, “Nope! I ain’t got that third ring yet,’ alisema Nicki.
Tazama picha zaidi za rapper huyo kwenye jarida la Nylon.
Comments
Post a Comment