sherehe za mahafali ya saba shule ya sekondari KORIDO wilayani Namtumbo, Ruvuma
Kwaya ya Wanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari KORIDO iliyopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakiimba kwaya kwenye mahafali ya 7 Toka kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2009.
Picha na Yeremias Ngerangera
Comments
Post a Comment